Wednesday, December 9, 2015

mapenzi

pendo langu kwako haliishi,
kiswahili wangu kwako nitaiishi
mashairi yanivuta kwako,
mtiririko waninata kwako
fadhili nielimishe
lugha nakupenda

No comments:

Post a Comment